- 57 viewsDuration: 2:50Sheria mpya itakayowianisha ushuru na ada zinazotozwa na serikali za kaunti itaanza kutekelezwa hivi karibuni kwenye juhudi za kusitisha urudufishaji wa ushuru. Waziri wa biashara na uwekezaji Lee Kinyanjui amesema mswada wa uwianishaji wa ushuru kwenye kaunti utapunguza ongezeko la bei za bidhaa linalosababishwa na viwango tofauti vya ushuru kwenye magatuzi. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive