Biashara I Wauzaji mboga wahimizwa kuanzisha mifumo ya kupatikana haraka

  • | KBC Video
    2 views

    Wauzaji mboga wamehimizwa kuanzisha mifumo ya kuwawezesha kupatikana haraka ili kuimarisha usalama wa chakula.Muungano wa kuimarisha lishe bora duniani Global Alliance for Improved nutrition unasema ipo haja kwa mashamba kubuni mifumo ya kuchunguza shughuli za kilimo ili kuongeza ulaji wa vyakula bora kwa afya na kufungua soko la kimataifa kwa mboga za kenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive