Biashara kuhusu mazingira kuorodheshwa kwenye soko la hisa

  • | KBC Video
    30 views

    Serikali inapanga kuweka kanuni na sera ili kuharakisha uorodheshaji watu wanaoanzisha biashara kuhusiana na maswala ya hali ya hewa katika Soko la Hisa la Nairobi. Waziri wa mazingira Mazingira Adan Duale amesema serikali inapanga kuchangisha pesa kwa ajili ya kutafuta suluhu za maswala ya hali ya hewa kwa njia ya mtaji kutoka kwa sekta ya kibinafsi ili kukabiliana na athari mbaya za mabadiliko ya hali ya hewa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive