Biashara ndogondogo nchini kunufaika na mpango wa kuimarisha shughuli na ukuaji wao

  • | KBC Video
    9 views

    Biashara ndogondogo nchini Kenya ni miongoni mwa zile zitakazonufaika kutokana na mpango wa miaka mitano wa kuimarisha shughuli na ukuaji wao. Hazina hiyo inalenga biashara za kiteknolojia kama vile teknolojia ya kifedha, teknolojia ya kiafya, teknolojia ya kilimo, uchukuzi na biashara kwa njia ya mtandao. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa zetu za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive