Biden aeleza sababu za kukabidhi madaraka kwa kizazi kipya

  • | VOA Swahili
    662 views
    Rais wa Marekani Joe Biden amelihutubia taifa Jumatano.⁣⁣⁣ Katika ujumbe mfupi, Biden alieleza uamuzi wake wa kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kugombea tena uchaguzi wa 2024.⁣⁣⁣ Sikiliza Biden akitoa sababu ya kukabidhi madaraka kwa kizazi kipya. ⁣ #demokrasia #cheo #rais #marekani #joebiden #hotuba #taifa #voa #voaswahili