Biden akagua gwaride, aungana na Rais wa Angola kusalimiana na viongozi
Rais wa Marekani Joe Biden leo amekagua gwaride lililotayarishwa kwa heshima yake katika mji wa Luanda.
Baada ya zoezi hilo la kukagua gwaride akiwa na mwenyeji wake Rais wa Angola Rais wa Angola Joao Lourenco, alisalimiana na maafisa wa serikali ya Angola na pia maafisa wa ubalozi wa Marekani nchini humo.
Biden aliwasili Angola Jumatatu kuanza ziara yake iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu huko Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara na atatumia siku tatu za ziara yake kukabiliana na ushawishi wa China kwa kutangaza mradi wenye matarajio makubwa wa reli unaofadhiliwa na Marekani.
Ujenzi wa reli unaojulikana kama Lobito Corridor unaofufuliwa tena huko Zambia, Congo na Angola una azma ya kuendeleza uwepo wa Marekani katika eneo lenye utajiri wa madini muhimu yanayotumiwa kutengeneza betri za magari ya umeme, vifaa vya kieletroniki na teknolojia ya nishati safi.
#biden #us #angola #luanda #voa
19 Apr 2025
- Amin's comments followed days after the former DP raised alarm over alleged assassination attempts.
19 Apr 2025
- Obiri's date with history is on Monday, April 21.
19 Apr 2025
- The floods have since resulted in the displacement of more than 200 families.
19 Apr 2025
- Donald Trump's simmering discontent with the US Federal Reserve boiled over this week, with the president threatening to take the unprecedented step of ousting the head of the fiercely independent central bank.
19 Apr 2025
- Leaders in the Kenya Kwanza government have rallied the Maasai community in Kajiado to reject former Deputy President Rigathi Gachagua’s opposition politics, accusing him of peddling untruths.
19 Apr 2025
- Four people have been confirmed dead following a tragic road accident in the early hours of Saturday morning in Ruiru, Kiambu County.
19 Apr 2025
- U.S. strikes on Yemen's Ras Isa fuel terminal on the Red Sea coast have killed at least 74 people in the deadliest attack since the U.S. started its bombing campaign against the Houthis last year, according to the Houthi-run health ministry.
19 Apr 2025
- Amin's comments followed days after the former DP raised alarm over alleged assassination attempts.
19 Apr 2025
- Police are looking for another suspect escaped unhurt.
19 Apr 2025
- Tanzanian opposition leaders are now demanding access to detained party chairman Tundu Lissu, saying it is his constitutional right.
19 Apr 2025
- The seminar features a comprehensive curriculum designed to strengthen participants’ understanding of AI and its integration into media.
19 Apr 2025
- Machakos Governor Wavinya Ndeti on Friday called on the Christian community to reflect on the meaning of Easter and to pray for the country during this sacred period.
19 Apr 2025
- On the hands