Biden awasili Angola katika ziara yake ya kwanza aliyoahidi kuifanya barani Afrika
Biden amewasili Angola katika ziara yake ya kwanza aliyoahidi kuifanya barani Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara kama rais.
Biden aliwasili Angola Jumatatu kuanza ziara yake iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu huko Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara na atatumia siku tatu za ziara yake kukabiliana na ushawishi wa China kwa kutangaza mradi wenye matarajio makubwa wa reli unaofadhiliwa na Marekani.
Ujenzi wa reli unaojulikana kama Lobito Corridor unaofufuliwa tena huko Zambia, Congo na Angola una azma ya kuendeleza uwepo wa Marekani katika eneo lenye utajiri wa madini muhimu yanayotumiwa kutengeneza betri za magari ya umeme, vifaa vya kieletroniki na teknolojia ya nishati safi.
Biden kwanza alisimama katika kisiwa cha Atlantiki huko Cape Verde kwa muda mfupi, alifanya mazungumzo ya faragha na Waziri Mkuu Ulisses Correia e Silva. Akiwa Angola, Biden amepanga kukutana na Rais wa Angola Joao Lourenco, kutembelea Makumbusho ya Taifa ya Utumwa na atakwenda katika mji wa bandari wa Lobito kuuangalia mradi huo wa reli. -AP
#biden #us #angola #luanda #voa
21 Dec 2024
- The 15 were selected after polling of 1068 registered voters of different demographics.
21 Dec 2024
- The footballer battled the illness for four years.
21 Dec 2024
- The Kenya Met boss also listed counties to experience very cold nights over the forecast period.
22 Dec 2024
- Three Committees at the National Assembly are set to commence the vetting process of Nominees nominated by the President to serve in various state offices upon Parliamentary approval. National Asse…
22 Dec 2024
- Kenyans working abroad have been challenged to inculcate a culture of saving and invest in the country. Labour and Social Protection PS Andrew Mwadime says the government is committed to its labour…
22 Dec 2024
- Syria's new rulers have appointed a foreign minister, the official Syrian news agency, or SANA, said on Saturday, as they seek to build international relations two weeks after Bashar al-Assad was ousted.
22 Dec 2024
- Chaos after Kuppet increases retirement age
22 Dec 2024
- Kalonzo: The last man standing in Opposition, but for how long?
22 Dec 2024
- Tvet: Ogamba calls for more student numbers
22 Dec 2024
- How new KRA guidelines will impact income tax calculation
22 Dec 2024
- First-term curse: Why every new president faces a crisis right after being sworn-in
22 Dec 2024
- Real 'dynasties' have come back together, can fresh 'hustlers' voice emerge?
22 Dec 2024
- Job loss fears as Mbadi orders cost-cutting in State agencies