Biden: Naiheshimu ofisi hii, lakini naipenda nchi yangu zaidi...

  • | VOA Swahili
    538 views
    Rais wa Marekani Joe Biden amelihutubia taifa Jumatano.⁣⁣ Katika ujumbe mfupi, Biden alieleza uamuzi wake wa kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kugombea tena uchaguzi wa 2024.⁣⁣ #demokrasia #cheo #rais #marekani #joebiden #hotuba #taifa #voa #voaswahili ⁣⁣