'Bila kununua magari ya watendaji mambo haya yatakosa msimamizi"

  • | BBC Swahili
    8,870 views
    "Unajua kuna watu wanapitapita huko na kusema serikali hii kazi yake kufuja pesa, inanunua magari ya watendaji badala ya kununua trekta" Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katika kilele cha siku ya wakulima mkoani Dodoma #bbcswahili #tanzania #kilimo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw