Bilionea na kiongozi wa kidini wa Ismailia Aga Khan, aaga dunia

  • | Citizen TV
    2,114 views

    Kiongozi mkuu wa jamii ya waislamu waIsmailiya Aga Khan ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 88 mjini Lisbon, Ureno. Shirika la maendeleo la Aga khan limetoa taarifa ya kifo chake huku atakayemrithi akitarajiwa kubainika kwenye wosia wake.