Billy Mwangi na Gideon Kibet waandikisha taarifa DCI

  • | Citizen TV
    2,808 views

    Billy Mwangi na Gideon Kibet waliokuwa miongoni mwa vijana watano waliotekwa nyara disemba mwaka jana na kuachiliwa wiki zilizopita wameandikisha taarifa kwa maafisa wa upelelezi wa jinai kuhusiana na kutekwa nyara kwao.