Bima mpya ya matibabu-SHIF yazinduliwa rasmi

  • | KBC Video
    25 views

    Baadhi ya wakenya wametoa wito kwa wizara ya afya kuhakikishia taifa kwamba hakuna mwananchi atayezuiwa kujisajili na hazina ya bima ya afya ya jamii-SHIF. Wakitoa maoni yao kuhusu shughuli ya uzinduzi iliyoandaliwa leo, baadhi ya wagonjwa wanaougua maradhi sugu walilalamika kukosa kupata huduma muhimu za afya hospitalini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive