Bingwa Mary Moraa Ashiriki Mashindano ya Riadha Nchini

  • | NTV Video
    96 views

    Bingwa wa dunia katika mbio za mita 800 Mary Moraa ni miongoni mwa wanariadha watajika walioshiriki raundi ya tano ya mashindano ya shirikisho la riadha humu nchini uwanjani Ulinzi Sports Complex. Mashindano hayo yataisha kesho siku ya fainali.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya