Binti wa wa miaka 4 atoweka kwa njia tatanishi Kayole

  • | KBC Video
    83 views

    Familia mojailiyojawa na majonzi mtaani Kayole,kaunti ya Nairobi inaomba kwamba binti yao wa umri wa miaka minne aliyetoweka Jumatatu tarehe 21 mwezi huu atarejea salama. Kulingana na mamake, Dorcas Awino, bintiye Alisha Bahati Precious, ambaye ni mwanafunzi wa PP1 katika kituo cha elimu cha Shalom alionekana mara ya mwisho wakati wa alasiri siku hiyo alipoenda nje kucheza na marafiki zake na hakuwahi kurejea nyumbani. Familia hiyo sasa inatafuta usaidizi kutoka kwa mkenya yeyote kumpata binti yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive