Bodi ya mauzo ya mifugo yatakiwa kutekeleza majukumu

  • | KBC Video
    29 views

    Baadhi ya wabunge kutoka eneo la Kaskazini Mashariki sasa wanamtaka waziri wa kilimo na ufugaji, kuhakikisha bodi mpya ya mauzo ya mifugo inaanza kutekeleza majukumu yake. Wakizungumza wakati wa warsha ya siku tatu, wabunge hao walimpongeza rais kwa kubuni bodi hiyo, wakisema itakuwa na manufaa makubwa kwa jamii za wafugaji. Wabunge hao pia waliafikiana kuungana kushinikiza kuongezwa kwa mgao wa rasilimali katika kaunti za Garissa, Wajir na Mandera.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive