Boti yaruka angani ziwani

  • | BBC Swahili
    4,367 views
    Tazama boti iliyokuwa kwenye mwendo kasi ilivyoruka angani kwa kasi ya 200mph kabla ya kutua chini katika Ziwa Havasu City, Arizona, Marekani. Tukio hilo lilitokea wakati wa onesho la mashindano ya boti, huku watu wawili waliokuwa kwenye boti hiyo wakijaribu kuweka rekodi mpya ya kuendesha kwa kasi kwenye ziwa hilo. Walipata majeraha madogo tu. #bbcswahili #marekani #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw