Brian Mwangi aliyepigwa risasi bado amelazwa hospitali

  • | Citizen TV
    1,999 views

    Brian Mwangi alipigwa risasi katika eneo la Karatina

    Amekwama na risasi kwenye uti wa mgongo muda wote

    Familia inasema Mwangi anahitajhi matibabu kwengine