Bunge kuandaa kikao maalum mwezi huu ili kuwapiga msasa mawaziri wateule

  • | KBC Video
    4 views

    KIKAO MAALUM CHA BUNGE

    Bunge linatarajiwa kuandaa kikao maalum tarehe 16 mwezi huu

    Wabunge watawapiga msasa mawaziri na mabalozi wateule

    Mawaziri watatu wapya wanatarajiwa kupigwa msasa

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News