Bunge la kitaifa laidhinisha mawaziri watatu walioteuliwa na rais

  • | KBC Video
    127 views

    Bunge la kitaifa limeidhinisha uteuzi wa magavana wa zamani William Kabogo na Lee Kinyanjui pamoja na waziri wa zamani Mutahi Kagwe kuwa mawaziri wapya. Walipokuwa wakiidhinisha ripoti ya kamati ya bunge kuhusu uteuzi, wabunge walielezea imani yao kuhusu watatu hao, wakisema wataongeza thamani kutokana na tajriba yao kwenye utumishi wa umma. Bunge la taifa pia iliidhinisha uteuzi wa aliyekuwa naibu Inspekta Jenerali Noor Gabow, pamoja na waliokuwa mawaziri Andrew Karanja na Ababu Namwamba kuwa mabalozi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive