Bunge la wananchi launga mkono mswada wa marekebisho ya sheria ya mahusiano ya Leba

  • | KBC Video
    69 views

    Vuguvugu la Bunge la Wananchi limeunga mkono mswada wa marekebisho ya sheria ya mahusiano ya Leba ambao umewasilishwa katika bunge la Seneti. Wakiongea mapema leo, wanachama wa vuguvugu hilo waliunga mkono pendekezo la kuweka muda makhsusi wa kuhudumu wa viongozi wa vyama vya wafanyakazi ili kutoa fursa ya kuwa na maafisa wanaoweza kuangazia vyema maslahi ya wafanyikazi wa humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive