Bunge lakaripiwa kwa kuchelewesha fedha kwa wazee

  • | KBC Video
    16 views

    Bunge la taifa linakosolewa kwa kupunguza fedha za mpango wa kutuma pesa kwa wazee. Katibu katika idara ya utunzi wa jamii Joseph Motari alipofika mbele ya kamati ya bunge la taifa kuhusu utekelezaji alisema mwezi uliopita utoaji wa fedha kwa wazee ulicheleweshwa kwa sababu haukujumuishwa katika bajeti ya ziada. Haya yanajiri huku bunge likipunguza umri unaohitajika wa kupokea fedha hizo kutoka miaka 70 hadi miaka 65.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive