Bungei atoa ushuhuda kuhusu maandamano ya Gen Z na mauaji ya Rex Masai

  • | NTV Video
    536 views

    Aliyekuwa kamanda wa polisi Adamson Bungei leo ametoa ushuhuda wake mbele ya mahakama kuhusu yaliyojiri wakati wa maandamano ya vuguvugu la vijana wa Gen Z walioandamana mwaka uliopita wakipinga mswada wa fedha.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya