Buriani Elvis Namenya

  • | Citizen TV
    662 views

    Misa ya wafu ya Elvis Murakana Namenya , mwanawe mbunge wa Dagorreti Kaskazini Beatrice Elachi inaendelea katika kanisa katoliki la Holy Trinity mtaani Kileleshwa. Elvis alifariki baada ya kuhusika kwenye ajali ya barabarani.