Burundi yatoa onyo dhidi ya Rwanda

  • | BBC Swahili
    6,258 views
    " Tunafahamu Rwanda inajaribu kutuvamia kupitia ardhi ya DRC ili wasingizie kuwa ni waasi wa Red Tabara na M23. Lakini tunawaambia nasi tunaweza kushambulia Kigali" Burundi imetishia kujibu vikali shambulio au uvamizi wowote utakaotokea nchini humo kutoka Rwanda. Akiongea na BBC, Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye, amesema kuwa wamepata taarifa za kuaminika kuwa taifa la Rwanda linapanga kuishambulia Burundi. #bbcswahili #DRC #Rwanda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw