Bwawa la maji lazinduliwa katika Chuo cha Polisi Kiganjo

  • | Citizen TV
    500 views

    Ili kuhakikisha wakenya wanapata huduma bora za idara ya polisi, wadau walio Kwenye nyanja mabli mbali wameombwa kupiga jeki juhudi za kuboresha mazingira wanaoyofanyia kazi maafisa wa polisi