CBC Yakosa Mikakati Maeneo Yenye Utovu Wa Usalama; Wanafunzi Wananani? | Nyufa Za CBC

  • | TV 47
    16 views

    CBC Yakosa Mikakati Maeneo Yenye Utovu Wa Usalama; Wanafunzi Wananani? | Nyufa Za CBC

    Serikali ilipoidhinisha mtaala wa umilisi –CBC, hatua hiyo ilionekana kubwa katika kuendeleza mfumo wa elimu nchini kenya.

    Mtaala huu uliundwa ili kuwaandaa wanafunzi vyema kwa maisha ya baadaye.

    Hata hivyo, anavyoarifu mwandishi wetu wa masuala ya elimu, Andrine Kilemi uhalisia wa mambo ni tofauti kabisa.

    #TV47Wikendi #TV47WeekendEdition #NyufaZaCBC

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __