Chama cha Akiba na Mikipo cha Mtangazaji kimetangaza mgao wa asilimia 10.85 ya akiba

  • | KBC Video
    41 views

    Chama cha akiba na mikopo cha Mtangazaji kimetangaza mgao wa asilimia 10.85 ya akiba za wanachama na asilimia 14 ya mtaji w ahisa wakati wa mkutano wake wa 19 wa kila mwaka. Faith Olera ambaye ni mkaguzi katika wizara ya vyama vya ushirika alikipongeza chama hicho kwa kuendelea kukua. Alisema ongezeko la mgao linatokana na maamuzi yenye hekima ya kifedha akiwahimiza viongozi wa chama hicho waimarishe mbinu za uwekezaji ili kupata mapato zaidi. Kwenye mkutano huo wanachama wa bodi walichaguliwa tena kwa kauli moja.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive