Chama cha DAP-K chalaumu nafasi ya upinzani nchini

  • | Citizen TV
    782 views

    Kiongozi wa DAP-K, Eugene Wamalwa, amemshutumu rais william ruto kwa kujaribu kumaliza upinzani haswa eneo la Magharibi ya kenya kwa kuunganisha vyama vya kisiasa kwenye chama chake cha UDA