Chama cha hospitali za kibinafsi za vijijini na mijini (RUPHA) chasusia SHA

  • | KBC Video
    67 views

    Kwenye hatua itakayoathiri pakubwa utoaji huduma za afya kote nchini Kenya, chama cha wamiliki hospitali katika maeneo ya mashinani na miji – RUPHA, kimetangaza kusitisha utoaji huduma za afya kwa wagonjwa waliosajiliwa kwenye bima ya afya ya jamii - SHA, kuanzia KESHO kutokana na kile kilichotaja kuwa deni la zaidi ya shilingi bilioni 30 linalodaiwa na hospitali za kibnafsi. Mwenyekiti wa chama hicho cha RUPHA, Brian Lishigwe, hata hivyo alifafanua kwamba huduma za dharura zitatolewa kama kawaida

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive