Chama cha KAW chapinga ukodishaji uwanja wa JKIA

  • | KBC Video
    52 views

    Chama cha wafanyakazi wa uchukuzi wa angani kinapinga ukodishaji wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta unaodaiwa kupangwa kukodishwa kampuni ya Adani Airport Holdings iliyoko nchini India kwa muda wa miaka 30 . Chama hicho kinatishia kuandaa mgomo wa wanachama wakae na kulemaza shughuli katika uwanja huo wa ndege iwapo mpango huo hautakomeshwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive