Chama cha kudheiha chatishia kuandaa mgomo wa kitaifa

  • | KBC Video
    24 views

    Chama cha wafanyikazi wa taasisi za elimu, hospitali na wafanyakazi washirika nchini -KUDHEIHA kimeitaka wizara ya elimu kulipa malimbikizo ya mishahara kwa wafanyikazi wasiokuwa walimu. KUDHEIHA inasema kukosa kulipa mishahara hiyo kunaweza kusababisha muungano huo kuitisha mgomo wa kitaifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive