Chama cha LSK chaomboleza kifu cha wakili mkuu Judy Thongori

  • | Citizen TV
    561 views

    Chama cha wanasheria nchini kinaomboleza kifo cha wakili mkuu Judy Thongori aliyefariki baada ya kuugua kwa muda mfupi. Chama cha mawakili kikiongozwa na rais Faith Odhiambo, kinasema kimepata pigo kubwa kufautai kifo cha wakili Thongori.