Chama cha majaji chaitaka idara ya polisi kuomba msamaha

  • | KBC Video
    96 views

    Chama cha majaji humu nchini kinaitaka tumne ya huduma ya kitaifa ya polisi kuomba radhi kutoka kwa idara ya mahakama kufuatia kuondolewa kwa walinzi na dereva wa jaji wa mahakama kuu Lawrence Mugambi. Kwenye kikao na wanahabari, rais wa chama hicho, Patrick Otieno alisema ulinzi wa maafisa wa idara ya mahakama umejikita kwenye katiba na unapaswa kuheshimiwa. Hali kadhalika majaji hao wanaitaka halmashauri huru ya kutathmini utendakazi wa polisi kuchunguza mienendo ya afisa aliyeagiza kuondolewa kwa walinzi na dereva wa Jaji Mugambi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive