Chama cha ODM chakana madai ya njama ya kumbandua Gachagua

  • | KBC Video
    361 views

    Baadhi ya wanasiasa wa chama cha ODM wamekanusha madai ya naibu Rais RIgathi Gachagua kwamba kuna njama ya kumng'atua madarakani kupitia kura ya kutokuwa na imani naye bungeni. Kwenye mahojiano na runinga ya Citizen, Gachagua alidai kubuniwa kwa serikali jumuishi kunahimiza njama ya kumtimua. Lakini kama anavyotuarifu Wycliffe Oketch, chama cha ODM kimesema hakina habari kuhusu mipango yoyote ya kumtimua.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive