Chama cha ODM kimetangaza kuwania nafasi zote katika uchaguzi wa 2027 hadi wadhifa wa urais

  • | K24 Video
    57 views

    Chama cha ODM kimetangaza kuwania nafasi zote katika uchaguzi wa 2027 hadi wadhifa wa urais. Mwenyekiti wa chama hicho, Gladys Wanga, amesema hayo huku akisistiza kuwa chama cha ODM bado ni upinzani chenye ushawishi mkubwa katika siasa za Kenya na kitaendelea kupigania ukombozi wa Kenya.