Chama cha upinzani Tanzania kimesema kuna uqezo wa mazungumzo. ili kuzuia migogoro zaidi nchini humo

  • | NTV Video
    120 views

    Chama cha upinzani nchini Tanzania ACT Wazalendo kimesema kuwa pana haja serikali na upinzani kufanya mazungumzo ili kuzuia migogoro zaidi ya kisiasa nchi hiyo inapojitayarisha katika uchaguzi mkuu ujao.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya