Chama cha ushirika cha Police chadumisha ki imara

  • | KBC Video
    33 views

    Usimamizi wa chama cha ushirika cha Police humu nchini umesisitiza kwamba chama hicho ni thabiti, licha ya madai kwamba baadhi ya wanachama wake hawajapata mshahara katika siku za hivi majuzi. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa bodi ya wasimamizi wa chama hicho David Mategwa, baadhi ya tuhuma hizo ni za uongo, na kuongeza kuwa chama hicho kina zaidi ya shilingi bilioni 18. alisema ucheleweshaji wa awali mshahara ulitokana na hitilafu ya kimfumo ambayo imerekebishwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive