Chama cha wafanyabiashara tawi la Samburu chalalamikia kuzorota Kwa usalama

  • | Citizen TV
    70 views

    Viongozi wa Chama Cha wafanyabiashara KNCCI tawi la Samburu wamekutana na wakuu wa usalama kwenye Kaunti hiyo,kuwasilisha malalamishi yao yanayotokana na kuzorota Kwa usalama. Baadhi wakiuwawa na kujeruhiwa.Hayo yanajiri huku wakuu wa usalama bonde la ufa wakitarajiwa kuzuru Kaunti hiyo kutathmini Hali ya usalama.Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi.