Chama cha wahadhiri chatoa ilani ya siku saba

  • | KBC Video
    27 views

    Chama cha wafanyakazi wa vyuo vikuu kwa mara nyingine tena kimetishia kulemaza masomo katika vyuo vikuu vyote vya umma humu nchini. Katibu wa chama hicho Constantine Wasonga amesema mgomo unatarajiwa kuanza baada ya kukamilika kwa makataa ya siku 7 yaliyotolewa kwa serikali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive