Chama cha walimu wakuu wa mashule chashinikiza mazungumzo kusuluhisha mgogoror kuhusu NG-CDF

  • | Citizen TV
    128 views

    Chama cha walimu wakuu wa shule za sekondari -KESSHA- katika kaunti ya homa Bay imeirai serikali kufanya mazungumzo na washikadau wa elimu ili kufanyia mabadiliko sheria ya hazina ya ustawi wa maeneo bunge - ngcdf - baada ya mahakama kuharamisha hazina hiyo. wadau wa elimu wanasema kuwa miradi mingi itaathirika iwapo uamizi wa mahakama utasalia. tayari spika w abunge la kitaifa moses wetangula ameitisha mkutano wa wabunge na wadau kujadili sheria hiyo na kutambua njia za kulainisha hazina hiyo iwe na misingi halali ya kisheria.