‘ Lissu ambaye hafai kuwa mwenyekiti alikua anafaa kuwa rais’

  • | BBC Swahili
    29,631 views
    Mgombea nafasi ya Uenyekiti Chadema Tundu Lissu amesema hatua yake ya kutaka uongozi wa chama hicho unalenga kulinda heshima ya kisiasa ya Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe. - Amesema hayo katika mahojiano maalum na Mwandishi wa BBC @sammyawami. - Kwa urefu zaidi fuatilia vipindi vya BBC katika radio, runinga na YouTube ya BBCSwahili. - 🎥: @eagansalla_gifted_sounds @frankmavura na @mtenganicholaus - - - #bbcswahili #tanzania #siasa #chadema #upinzani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw