Charity Ngilu ataka rais na naibu wake wang'atuke

  • | Citizen TV
    12,747 views

    Aliyekuwa govana wa kaunti ya kitui Charity Ngilu amemtetea naibu wa rais Rigathi Gachagua anayekabiliwa na hoja ya kumtimua kutoka ofisini. Akiongea katika hafla ya chama cha walimu wa shule za msingi (KNUT)Ngilu , na viongozi waliokuwepo wamesema kuwa rais William Ruto vilevile anafaakuondolewa mamlakani pamoja na naibu wake.Viongozi hao wamesema ni wakati wa rais William Ruto kuwafanyia wananchi kazi badala ya kufanya siasa.