Chimamanda Ngozi Adichie: Ni muhimu vitabu vyangu kusomwa Afrika

  • | BBC Swahili
    242 views
    Mwandishi wa vitabu kutoka Nigeria Chimamanda Ngozi Adichie ametoa kitabu kipya baada ya kukaa kimya kwa zaidi ya miaka 10. Amezungumza na BBC kuhusu changamoto za uandishi wa vitabu barani Afrika. Chimamanda Ngozi Adichie