Christopher Owino anayehusishwa na kuteketeza nyumba akamatwa Kibra

  • | Citizen TV
    5,245 views

    Mshukiwa mkuu wa shambulizi la moto kwenye nyumba lililowaua watu tisa wa familia moja eneo la Ugunja kaunti ya Siaya amekamatwa katika mtaa wa Kibra hapa Nairobi