Chuma kilichoanguka Makueni chathibitishwa kuwa kifaa cha angani

  • | KBC Video
    17,615 views

    Shirika la anga za juu la Kenya limethibitisha kuwa kifaa cha chuma chenye umbo la pete kilichoanguka kutoka angani katika Kijiji cha Mukuku Kaunti ya Makueni Jumatatu, ni kipande cha kifaa cha anga za juu. Maafisa wa shirika hilo wanasema kuwa uchunguzi zaidi utathibitisha maelezo kamili kuhusu kifaa hicho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive