Chuo kikuu cha Riara chapokea hati ya uidhinisho

  • | KBC Video
    21 views

    Rais William Ruto amehimiza vyuo vikuu vya humu nchini kubuni ushirikiano thabiti na sekta ya kibinafsi ili kubidhaifisha uvumbuzi. Akiongea katika ikulu ya Nairobi, wakati wa hafla ya kukikabidhi chuo kikuu cha Riara hati ya uidhinisho, rais alisema ipo hja kwa vyuo vikuu kufumbatia mtindo wa ujasiriamali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive