Citizen TV na kampuni ya Royal Media Services zatuzwa

  • | Citizen TV
    491 views

    Runinga ya Citizen imetajwa kama stesheni inayoenziwa zaidi nchini, kwenye tuzo za kampuni na bidhaa bora barani Afrika.