Communication Authority of Kenya yatambua kata 33 ambazo zina changamoto za mawasiliano

  • | Citizen TV
    230 views

    Halmashauri Ya Mawasiliano Nchini Imetambua Kata 313 Nchini Ambazo Zina Changamoto Ya Mawasiliano. Kata Hizo Zimewekwa Katika Mpango Wa Kujenga Minara Ili Kurahisisha Mawasiliano. Mradi Huo Unaotekelezwa Katika Awamu Nne Utagharimu Takriban Shilingi Bilioni 6.9. Eneo La Bao Lala Kaunti Ya Kilifi Mita Chache Kutoka Msitu Wa Shakahola Ni Mojawapo Ya Sehemu Zilizonufaika Na Mradi Huo.