Daktari aliyegundua na kumtibu mgonjwa wa kwanza wa UKIMWI Tanzania

  • | BBC Swahili
    1,024 views
    Imetimia miaka 40 sasa tangu kugundulika kwa ugonjwa wa UKIMWI ambao uliingia Afrika Mashariki mwaka 1983. Callixte Twagirayezu alikua daktari aliyemtibu mgonjwa wa kwanza kabisa wa virusi vya UKIMWI. Maelfu ya watanzania walipoteza maisha, huku ikiwa vigumu kuweza kukabiliana nao kutokana na mila potofu. Katika mahojiano na BBC, daktari huyu ambaye kwa sasa ana miaka 93 anasema kilikuwa miongoni mwa vipindi vigumu kuwahi kushuhudia maishani mwake. ✍ @mcdavid_nkya_ 🎥 Bosha Nyanje #bbcswahili #tanzania #HIV Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw