Daktari: 'Yalikuwa mashambulizi makubwa ya mabomu, hatukulala usiku kucha'
Daktari mmoja katika Hospitali ya Khan Younis Nasser alisema kuwa jeshi la Israeli lilikuwa linawaamrisha Wapalestina kuondoka katika eneo kwa kuonyesha ujumbe kutoka katika quadcopter katika video iiyotolewa Jumatatu (Januari 29).
Daktari Ahmed Moghrabi aliipiga picha quadcopter iliyokuwa inazunguka karibu na hospitali hiyo na pia mawingu ya moshi mweusi yaliyokuwa angani, akisema hakuweza kulala kutokana na mashambulizi makali ya mabomu usiku kucha.
Reuters iliweza kuthibitisha eneo la tukio kuwa ni hospitali ya Nasser huko Khan Younis, Gaza kutokana na majengo na ukuta unaonekana katika video ambayo inalingana na picha za satellite za eneo hilo. Reuters haikuweza kuthibitisha peke yake lini video hii ilichukuliwa.
Mashambulizi ya anga yalipiga mji wa kusini wa Khan Younis siku ya Jumatatu. Israel ilisema kuwa watu kati ya darzeni ya Wapalestina waliokuwa na silaha waliwaua katika muda wa saa 24 zilizopita ambapo walikuwa wanajiandaa kushambulia wanajeshi waliokuwa karibu na hospitali ya Al-Amal iliyoko takriban kilomita 1 (maili 0.6) kutoka Hospitali ya Nasser.
Majengo ya hospitali yalikuwa hatarini kuanguka huko Khan Younis , wizara ya afya ya Gaza imetahadharisha Jumapili (Januari 28).
Shambulizi lililofanywa na Hamas Oktoba 7 kwa kuvuka Gaza na kuingia kusini mwa Israel lilisababisha vita na waliwauwa kiasi cha watu 1,200.
Maafisa wa afya wa Palestina walisema watu wasiopungua 26,000 wakazi wa Gaza wameuawa katika vita hivyo. - Reuters
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #khanyounis
29 Nov 2024
- The discovery comes as the government seeks to raise the number of tourists visiting the country to 10 million annually by 2027.
29 Nov 2024
- The update comes following Gachagua's attack in Limuru, Kiambu County.
29 Nov 2024
- The move comes days after Musalia Mudavadi's recent directive.
29 Nov 2024
- The Kenyatta University Teaching, Referral and Research Hospital (KUTRRH) has appointed Irungu Kamau as its acting Chief Executive Officer (CEO), effective immediately.
29 Nov 2024
- Daniel Wanyeki Gachoka, 59, who had been serving a life sentence for defiling his two underage daughters, was granted his freedom last week after the Kiambu High Court ruled that he had been wrongfully convicted.
29 Nov 2024
- President William Ruto is expected to travel to Arusha, Tanzania later today to attend the 24th Ordinary Summit of the East African Heads of State.
29 Nov 2024
- The Nakuru County Government is on the spot over allegations of exhuming bodies from the Nakuru South Cemetery to create space for more bodies to be buried at the grounds.
29 Nov 2024
- From the pulpit to beer halls, it's a crisis of faith as graft takes firm root
29 Nov 2024
- Former Elgeyo Marakwet County official to lose Sh80m property following court ruling
29 Nov 2024
- Private entities allowed to recover proceeds of graft
29 Nov 2024
- ODM dismisses reports of coercion to vote by consensus
29 Nov 2024
- The discovery comes as the government seeks to raise the number of tourists visiting the country to 10 million annually by 2027.
29 Nov 2024
- The number of mpox cases will continue to rise during the next four weeks before starting to show signs of flattening early next year